Transcript
Click on arrows below to view translation
Furaha nikona furaha kwa vile naweza, kuelewa lugha ambazo nina jua na pia kuzungumuza na watu wengi na si Kenya pekee yake pia nje ya Kenya kwa vile na weza kuongea, Kiswahili ambapo vile katika Waafrica kadha na Kingereza kwa watu wengine.